Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa UTT AMIS, Prof. Faustine Kamuzora (kulia) wakikata utepe ishara ya uzinduzi wa Tawi la UTT AMIS - Kahama Mkoani Shinyanga Agosti 20,2025
Na Neema Nkumbi, Kahama
Wananchi wa Kahama sasa wamepata fursa ya kipekee ya kushiriki moja kwa moja katika masoko ya fedha na uwekezaji baada ya kampuni ya UTT Asset Management and Investor Services (UTT AMIS) kufungua rasmi tawi lake jipya mjini humo ambapo Hatua hii inatarajiwa kuwa kichocheo cha ukuaji wa kipato kwa wakulima, wachimbaji, wafanyabiashara na vijana wa mjini na vijijini.
Kwa mara ya kwanza, wakazi wa Kahama wanaweza kuanza safari ya uwekezaji kwa mtaji mdogo kuanzia shilingi 5,000 kupitia mifuko ya uwekezaji, huku wakipata elimu ya fedha na namna ya kupanga matumizi ya akiba zao.
Wataalamu wanasema huduma hizi zitasaidia kupunguza utegemezi wa mikopo yenye riba kubwa, na badala yake kutoa njia mbadala ya kupata mtaji kwa miradi ya kilimo, biashara na ufugaji.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa UTT AMIS, Prof. Faustine Kamuzora, amesema zaidi ya Watanzania 500,000 tayari wananufaika na mifuko ya uwekezaji inayosimamiwa na taasisi hiyo, huku faida ikipatikana kati ya asilimia 12 hadi 15 kwa mwaka.
Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda, amewataka wananchi kuchangamkia fursa hiyo akisisitiza kuwa ni daraja la kupunguza umaskini na kukuza uchumi wa familia.
Kupitia teknolojia, wateja wa UTT AMIS pia wataweza kuwekeza au kutoa fedha zao popote walipo kwa kutumia simu ya mkononi bila kulazimika kufika ofisini, jambo linaloongeza urahisi wa upatikanaji wa huduma.
Tawi hili jipya linaongeza idadi ya matawi ya UTT AMIS yaliyopo katika mikoa ya Mwanza, Arusha, Dodoma, Mbeya na Zanzibar.
Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa UTT AMIS, Prof. Faustine Kamuzora (kulia) wakikata utepe ishara ya uzinduzi wa Tawi la UTT AMIS - Kahama Mkoani Shinyanga Agosti 20,2025
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa UTT AMIS, Prof. Faustine Kamuzora (kulia) wakikata utepe ishara ya uzinduzi wa Tawi la UTT AMIS - Kahama Mkoani Shinyanga Agosti 20,2025
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa UTT AMIS, Prof. Faustine Kamuzora (kulia) wakikata utepe ishara ya uzinduzi wa Tawi la UTT AMIS - Kahama Mkoani Shinyanga Agosti 20,2025
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda akionesha nyaraka baada ya kufungua akaunti wakati wa uzinduzi wa Tawi la UTT AMIS - Kahama Mkoani Shinyanga

Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tawi la UTT AMIS - Kahama Mkoani Shinyanga

Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tawi ya UTT AMIS - Kahama Mkoani Shinyanga
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa UTT AMIS, Prof. Faustine Kamuzora akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tawi la UTT AMIS - Kahama Mkoani Shinyanga

Mkurugenzi Mtendaji wa UTT AMIS, Simon Migangala, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tawi la UTT AMIS - Kahama Mkoani ShinyangaMkurugenzi Mtendaji wa UTT AMIS, Simon Migangala, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tawi la UTT AMIS - Kahama Mkoani Shinyanga
Mkurugenzi Mtendaji wa UTT AMIS, Simon Migangala, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tawi la UTT AMIS - Kahama Mkoani Shinyanga
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa UTT AMIS, Prof. Faustine Kamuzora (kushoto) wakizungumza jambo ndani ya Kituo cha UTT AMIS - Kahama Mkoani Shinyanga

0 Comments