Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DR BITEKO ASISITIZA KULINDA AMANI

 


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko jana tarehe 5 Aprili, 2024 amemwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango katika Iftari inayohusisha Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini pamoja na Wananchi wa makundi mbalimbali inayofanyika katika ukumbi wa Police Messy jijini Dar es Salaam.


Mhe. Dkt. Biteko amesisitiza kama Taifa ili mambo yote yaweze kutendeka jambo moja linahitajika ni amani.

Iftari hiyo imeandaliwa na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania

Post a Comment

0 Comments